🏆 NISAIDIE KURA YAKO! 🙏
Nimechaguliwa kuwania Counselling Psychologist of the Year – Afri-Glo Men's Choice Awards Tanzania 2026.
Jinsi ya kupiga kura: ✅ Tembelea: https://t.co/cW3WEUOnJ0 ✅ Tafuta jina: Godfrey Leon Lyakwipa ✅ Chagua jina langu. ✅ piga kura.Kura 1 = TZS 500
One of the greatest sources of pressure isn't society—it's often the voice within our own minds.
We compare our lives to carefully curated snapshots of others, set unrealistic deadlines for ourselves, and begin to believe that if we haven't reached certain milestones by a partic
KUANZA UPYA SI KUSHINDWA: UBONGO WAKO UNA UWEZO WA KUJENGA MAISHA MAPYA
"Siku zote kutakuwa na upendo mwingine, kazi nyingine, mji mwingine na watu wengine—lakini hutakuwa na maisha mengine. Usiogope kuanza upya."
Kwa mtazamo wa saikolojia, kuanza upya si ishara ya kushindwa;
SAIKOLOJIA YA MAFANIKIO: Waone Wengine Kama Walimu, Siyo Washindani
"Natumaini watu ninaowachukulia kama mashujaa wangu wasinione kama mpinzani wao. Mimi sikuwaangalia kama washindani, bali kama wenzangu wa safari ambao ninaweza kujifunza na kushirikiana nao."
SAIKOLOJIA YA MAFANIKIO: Kwa Nini Usikate Tamaa Baada ya Kushindwa Mara ya Kwanza?
> "Pigo la mwisho la nyundo ndilo linalovunja jiwe. Hii haimaanishi kwamba mapigo ya mwanzo hayakuwa na faida. Mafanikio ni matokeo ya juhudi zinazoendelea bila kukata tamaa."
ELIMU YA KIFUA KIKUU (TB): KUJIKINGA NI WAJIBU WA KILA MTU 🫁
Leo nilipata fursa ya kutoa elimu kwa watumishi wa TAKUKURU kuhusu ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB), tukijadili dalili, namna unavyoambukizwa, njia za kujikinga, na umuhimu wa kuwahi kupata uchunguzi na matibabu.
#TB
🧠 NIDHAMU YA DOPAMINI
Leo tunaishi katika dunia iliyojaa vichocheo vya haraka—simu, mitandao ya kijamii, video zisizoisha na maudhui yanayoteka umakini wetu kila dakika.
Kadiri ubongo unavyozoea msisimko wa kiwango cha juu, ndivyo shughuli za kawaida kama kusoma, kufanya kazi na
🧠 KATIKA MTAZAMO WA SAIKOLOJIA
Haiba yako si bahati mbaya—inaathiri jinsi unavyofikiri, unavyohisi na unavyohusiana na wengine.
Tafiti za saikolojia zinaonyesha kuwa watu wengi hutofautiana katika maeneo makuu matano ya haiba (Big Five Personality Traits):
AFYA YA AKILI HUANZA DARASANI
Kujenga wanafunzi wenye afya ya akili ni msingi wa mafanikio ya elimu na maisha.
"Darasa si mahali pa kufundisha masomo pekee; ni mahali pa kujenga akili, tabia, maadili na mustakabali wa mwanafunzi."
Hofu ni Kizuizi Kikubwa Kuliko Kushindwa: Kwa Nini Unapaswa Kuthubutu Kujaribu?
Watu wengi hawashindwi kwa sababu hawana uwezo; hushindwa kwa sababu hofu huwazuia hata kuanza. Katika saikolojia, hofu inapochukua nafasi ya maamuzi, huifanya akili ionekane kwamba kutofanya chochote
MTAZAMO SAHIHI
Maisha hayatabadilishwa na tukio moja kubwa, bali na maamuzi madogo unayochukua kila siku.
✔️ Vikwazo si mwisho wa safari; ni nafasi ya kujifunza na kukua.
✔️ Usiache kipaji chako kwa kisingizio cha kuwa na shughuli nyingi. Tengeneza muda kwa kile kinachokupa maana
📖 Jenga, Usiongee Tu
Baadhi ya Mafunzo Muhimu kutoka kwenye kitabu Mambo Ambayo Ungetamani Kufundishwa Shuleni cha Raj Shamani.
"Dunia haitoi zawadi kwa kuwa na mawazo mazuri pekee; inawazawadia wale wanaochukua hatua na kuyatekeleza."
Nimeheshimiwa kupata mwaliko wa kushiriki katika uzinduzi wa Jukwaa la Vijana (Youth Platform) kama Msaikolojia, ambapo nilipata fursa ya kuzungumza na vijana kuhusu mada "Afya ya Akili kwa Vijana: Msingi wa Mafanikio na Maendeleo ya Taifa."
Katika mazungumzo yetu tulikumbushana
KWA NINI AFYA YA AKILI YA VIJANA NI MUHIMU?
Vijana ndiyo nguvu kazi ya taifa.
Kama akili za vijana zimechoka:
Uzalishaji hushuka
Ubunifu hupungua
Nidhamu hupungua
Matumizi ya dawa za kulevya huongezeka
Uhalifu unaweza kuongezeka
Uchumi huathirika
Lakini kijana mwenye afya nzuri
TABIA UNAZOPASWA KUBADILISHA KUANZIA LEO
Mtazamo Wako wa Mawazo ni Kama Sumaku
Ukijenga mawazo yanayolenga baraka, fursa na mafanikio, utaanza kuona na kuvutia mambo hayo katika maisha yako. Ukijikita zaidi kwenye hofu, matatizo na kushindwa, mara nyingi utaona maisha .........
Kwa Nini Tunatumia Pesa Kujionyesha? Mtazamo wa Saikolojia Kuhusu Tabia ya Matumizi na Utajiri 💰🧠
"Kutumia pesa ili kuwaonyesha watu kwamba una pesa nyingi ndiyo njia ya haraka zaidi ya kubaki na pesa chache."
https://t.co/c3PrAoyPgR