@iamBandanaJr Tatizo sio gari wala engine kuwa ndogo tatizo ni mafundi wanatak kutengeneza kama wanatengeneza toyota wakubali mazd hawaijui sio kusingizia gari
@EngMapundajr Gari hiyo haina shida yoyote ila shida ipo kwa mafund wetu fundi mmoja anataka ajue gari zote huyo huyo atengeneze toyota mistubish nissan honda mazda ford marcedes aud volkswagen sasa hii mazda hazikuwa nying mafund wanataka watengeneze kama toyota ndio maan zinawashinda