Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Chamwino Mhe. Deogratius Ndejembi ameshiriki kikamilifu kupiga kura katika jimbo la Chamwino mkoani Dodoma Leo tarehe 04 Novemba, 2026
#kaziNaUtuTungasongaMbele
KITUO CHA AFYA UMWE RUFIJI KULETA AHUENI KWA WANANCHI-KIHONGOSI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani ndugu Kihongosi, amesema ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Umwe wilayani Rufiji
CCM INAANDAA VIONGOZI HAIOKOTEZI VIONGOZI-KIHONGOSI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, uenezi na mafunzo ndugu Kenani Kihongosi amesema chama cha Mapinduzi kinaamdaa viongozi wake na hakiokotezi viongozi
Good job CHADEMA, kutoa ushirikiano kwa hii tume ni kuipa uhalali….
Hii tume haina uhalali sababu imeteuliwa na mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya October…..
Na any findings za hii tume ni za kutupa kwenye shimo la taka 🚮
Joel 2:12
“Lakini hata sasa,” nasema mimi Mwenyezi-Mungu, “Nirudieni kwa moyo wote, kwa kufunga, kulia na kuomboleza. Msirarue mavazi yenu kuonesha huzuni bali nirudieni kwa moyo wa toba.”