Watu wengi wasingekua Hai leo, kama watu wenye ukarimu wasingejitolea kuchangia damu.
#changiadamumaishayaendelee
Watu wengi wasingekua Hai leo, kama watu wenye ukarimu wasingejitolea kuchangia damu.
#changiadamumaishayaendelee
The #GospelOfTheDay is a call to conversion, both tender and urgent. God wants us to live, to open our eyes, and return to Him. To repent is to leave the paths on which we lost our way, and to follow the Way of Life, opening our hearts to the sole joy that never fades.
Mjadala wa GPA Kubwa Vs kuwa na Skills
Kwanini GPA kubwa ni nzuri.
1. Kwanza ukishapata GPA ndogo umeshapata. Hakuna namna unaweza kuibadilisha. Labda Uanze upya Chuo. Inakuhitaji Miaka 3, 4 ama 5 kurekebisha hiyo GPA.
Jitahidi uwe na GPA kubwa
1/3
There are three types of people in this world:
1. Those who make things happen.
2. Those who watch things happen.
3. Those who wonder what happened.
Which type are you? 🤔
A Vision for a Healthier Africa:
I am honored to share this documentary, which reflects my journey and commitment to strengthening healthcare systems across our continent. Through the voices of leaders and colleagues, it highlights the values that guide me; leadership, dedication, and a deep belief in health equity and well-being for all. I remain steadfast in my vision for a healthier, stronger Africa.
#WHO
#WHOAFRO
#JANABI4WHOAFRO
Umewahi kujiuliza kwa nini hufanyi unachopaswa kufanya kwa wakati? Una kazi muhimu unayotakiwa kuifanya, muda unaenda, makataa yanakaribia na unajua lakini bado unaghairi kuanza.
Sababu mojawapo ni uwezo mkubwa unaokufanya ujiamini kupindukia. Unajiamini kuwa hata kesho utafanya. Unaujua vizuri uwezo wako kiasi kwamba hata ukichelewa kuanza unajua hiyo kazi utaifanya vizuri na utamaliza.
Hiki ndicho kilema kikubwa kinachowatesa watu wengi wenye uwezo mkubwa—wanatumia muda mwingi kujiamini, kujikubali, kuuelezea uwezo wako kuliko kufanya.
Uwezo unawadanganya.
Uwezo unawafanya waamini muda upo.
Uwezo unawapumbaza waamini wanaweza kuushinda uhalisia.
Uwezo unawalaghai kuwa hata wakichelewa watafanya vizuri. Matokeo yake hawaanzi kwa wakati na hivyo wanajikuta hawana muda wa kufanya kazi inayolingana na uwezo wao.
Kadri unavyokuwa na uwezo wa kufanya kitu vizuri ndivyo unavyoongeza uwezekano wa kuwa mvivu. Uwezo unakuchelewesha. Wenzako wanaojijua hawana uwezo kivile wanajihami —wanaanza mapema, wana nidhamu kubwa, wanaheshimu muda na hivyo wanaonesha matokeo makubwa halafu wewe unabaki na ubora kichwani usioweza kuuonesha.
Ewe kijana unayetamani kuwa kiongozi kwa nafasi yoyote ndani ya utumishi wa umma
au siasa za ndani na nje ya vyama vya siasa, ukiwa mkweli wa nafsi yako mwenyewe, una kipi hasa unachopigania ukiacha ndoto ya kujiwekea mazingira ya sifa, umaarufu na uhakika wa kipato na mali? Unaamini kipi unachoweza kukieleza kinagaubaga kama itikadi na falsafa inayoongoza misimamo na maamuzi unayofanya kama kiongozi?
Ukweli ni kwamba usipokuwa na kingine unachokipambania zaidi ya ukubwa, madaraka na ushawishi, harakati zako za kuwa kiongozi hazitakuwa na tofauti na biashara nyingine na mipangilio ya ulaji na, kwa hakika, unaweza kuishia kuwa mtu hatari anayetumia nafasi yako kama nyenzo ya kupambana na watu usiowapenda, kuwachafua wanaotishia maslahi yako, kuwatumikia wenye nguvu kukuzidi na kuchora mipango ya kufilisi nchi.
Tusiishie kuhamasishana kuingia kwenye utumishi wa umma na siasa za vyama. Tusaidiane kujipambanua kwa itikadi, imani na falsafa zinazoeleweka. Tukumbushane umuhimu wa kuwa na dhamira safi, nia ya dhati na msukumo thabiti wa kuchangia mawazo, ujuzi, weledi na uzoefu katika maendeleo endelevu ya jamii na taifa katika ujumla wake.
“If there’s still a corner your blessings haven’t reached, your Angelus blessings, your Audiences, your Apostolic Letters and Exhortations, your Speeches and Messages, your Encyclicals, your Homilies, your Journeys, your Daily Meditations, and your prayers… To that corner, surely your smile, filled with mercy and hope, made its way.”
We recall the Pope's smile, reaching to every corner of the world.