@iam_mobam@Eric__Bernard Tatizo lenu mnapenda kununua hisa zikiwa zimepanda mfano saiv zikiwa zinashuka hamtaki kununua mnataka mnunue zimepanda halafu na zenyewe zinashuka mnapata loss kuna watu walinunua toka zinauzwa sh. 100 wakapanda nazo mpaka 2500 ila kuna maboya walinunulia bei ya juu 😂
@Eric__Bernard Kuna hisa gani hapa duniani hazijawahi shuka au wewe mngeni kwenye haya maswala, halafu hisa iliyotoka 100 mpaka 2200 huwezi sema imeporomoka sema imeshuka 😂😂
@nseheye99020@yungy_bash@Addy_Adams bado unaishi kizamani ndio mana unaona ni ushamba nyie ndio wale mnaoamini ili ufanikiwe ni lazima ukae ofsini kwenye viti vya kuzunguka au uuze mahindi there is more than that na Dunia inabadilika endelea kukariri sasa
@Madari1929@IssayaRick@Addy_Adams Huyo amekuwa scammed na mtu sio kwamba forex ndio imem scam tatizo hujui kitu kuhusu forex mbona kuna watu wanakuwa scammed kwenye kilimo wao huwaoni? Mr Kuku yule aliyetapeli watu naye alikuwa forex trader kwani? Tabia ya utapeli ni ya mtu usisingizie forex 🚮
@BillyTronix1 Wewe ni pimbi na ndezi eti unasema "kanisani watu wanafundishana umalaya" acha uchoko wa kuchokonoa imani za watu mshamba wewe siutaje jina la kanisa 😡
In 1985 someone filmed what it actually looked like to move billions in currencies across London, New York, and Hong Kong in a single day.
3 individual traders gambling millions.
No charts on a smartphone.
No fake YouTube course selling gurus.
Just raw instinct and nerves of steel.
This is one of the rarest trading documentaries ever made.
Watch it now or save it for later.
These 30 minutes show you what the game looked like before everyone claimed to have it figured out.
@GK88520@Dent_20111@FabrizioRomano Yes it's still the biggest and second in the world after Real Madrid and it's not 15 years it's 13 years without EPL don't exaggerate things also winning an EPL doesn't make you a big club than Man United by default you have to build legacy