Unajua Zitto Kabwe na Benard Membe wanakutana sana kunijadili mimi Simba wa Msituni,anadhani mimi sijui,anadhani mimi sijui kama natafutwa na genge lao kazi na bata,na kikao cha Juzi pale kusini na baadaye Masaki nina Information zote,endeleeni
“Kuanzia kesho, wasafiri wataoingia nchini kutoka nchi zilizoathirika zaidi na virusi vya Corona, watalazimika kupelekwa katika maeneo maalum kwa siku 14 kwa gharama zao wenyewe" - Rais @MagufuliJP
@mwizraelog Ina maana yeye ana akili ya kujua fursa za viwanda husika kuliko viwanda vyenyewe ama viwanda ndivyo havitaki kufanya biashara? Msitafute vidonda vya tumbo bure acheni nature ifuate mkondo wake kama una uwezo ipo siku tu utaonekana
Huyu mfanya biashara wa kaliakoo ndg Ramadhani TRA walikamata mzigo wake tangu 2016 Kisa aligoma kutoa Rushwa ,Rais aliagiza wamlipe na waziri mkuu pia alisema.cha ajabu anasema wanamtengenezea njama wamuue,nakumlipa wamekataa ,Rais amesema mmlipe mnakataaje?
Yaani uko sawa mzee. Naamuaga tu kununua soda kila siku maana kwa joto hili la Dar, mmmhhh. Of course hili haliwagusi Kihivyo watoto wa kishua waliozaliwa BAC wakakuta ndani ya fridge hakuishagi vinywaji. Sisi wengine ni BBC mambo haya tumeyajulia tu ukubwani. Basi tunatesekaje?
Wakati wa utawala wako hukupigania tume huru,leo uko nje ya CCM unapanua domo lako kudai tume,CCM iko imara na Taifa liko imara utahangaika sana na hutafanikiwa narudia tena hutafanikiwa ,Mchana Usiku hutafanikiwa
@FmNnko Bora hata wewe, mimi kila nikijichanganya tu kununua kreti la soda basi nitatesekaje. Yaani nikivunga kuwa leo sitaki kunywa soda, nasumbuka huku moyo ukinikumbusha muda wote kuwa kuna kitu somewhere haujakichukua yaani inaweza kufika saa 22 uzalendo ukanishinda nikaenda kunywa.
1
Benard Membe anavyotumia fedha za Libya kutaka kuivuruga serikali Magufuli
Benard K Membe kupitia kampuni ya Meis Industries Limited ambayo mkewe Dorcas Membe ana hisa 75% aliiba fedha kutoka akaunti ya Libya No.004-200-0002216-01 iliyokuwa Benki ya TIB
Mwanasiasa HATARI kwa Ccm? Nikiangalia hii wordings na vile jamaa alijinasibu eti yeye ndiye afaa kwa mchuano kuzingatia na mazingira ya sasa ya kisiasa, ninacheeeka. Kumbe ni class struggle from within wako kwenye mchuano wa NANI SHUJAA. Huyu kajiquarantine UK yule kaenda WB
Baada ya michango michango ya wanachama wa chadema kukamilika na kuwatoa viongozi wao gerezani,wanachama waliendelea kutoa michango yao iliyofikia million 104 pesa hizo sasa zinakigawa chama maana hazijulikani zilipo baadhi ya viongozi wanahoji zilipo?
@katudenyo1 @angelbellerin02@itzjacton Umeniwahi mzee. Zamani wanaume walipendwa kwa utu wao but nowadays wenye hela hata kama ni malaya ama majambazi still ndio wanaopendwa. Kwa nini wanawake wengi wazuri wanachezea ujana wao na kuishia kuolewa na viwango vya chini wanapoanza kuchoka? So tatizo ni wanawake
@ChademaMdude Usiyoyajua ni kama usiku wa giza. Ungetajiwa Wabunge wa #Chadema waliosikika wakitaka uchaguzi uhairishwe, utapata uharo. Fuatilia hali za Wabunge wenu acha kuropoka ropoka tu. Wa #CCM wana uhakika usiotindika wa kutoboa 2020 chini ya mwamba @MagufuliJP
Mbowe ni mtu wa ajabu sana ile mikutano aliyopanga kufanyika 4/4/2020 cha ajabu eti wataanzia Tarime na nyamongo tunakusubiri.kwanini usianzie Bomang'ombe? Kwanini usianzie Moshi unataka sisi watu wa tarime tuvunjwe miguu? Ila ndugu zako wasalimike .hapana