ICON STORE | #madeforthehustle
Shoes | T-shirts | Bags | Sports Kits
Fan of Manchester United & Simba SC
0697481277
IG: @icon_store04 | WhatsApp available
Wakuu kwa heshima yenu naomba muwe mnarepost tweets zangu (za kibiashara) maana kwenye zile chache watu waliorepost nmeona matokeo chanya asante kwa support zenu. Mungu awabariki wote
Air Jordan 11 ‘Concord’
Air Jordan 11 ‘Concord.’ Kutoka Nike
Mwaka wa Kutolewa: 1995, 2000, 2011, 2018
Kuna colorways nyingi za Air Jordan 11 ambazo zinaweza kubadilishana nafasi ya kuwa namba moja kwenye orodha kama hii, lakini “Concord” ndiyo inachukua heshima hiyo.
una mwonekano wa dress shoe ambao unapendwa ndani na nje ya uwanja.
Sneaker hii pia inahusishwa na moja ya matukio makubwa na maarufu zaidi ya vurugu za kununua viatu, ambapo toleo la 2011 lilipelekea taharuki kubwa nchini Marekani watu wakijaribu kununua jozi zao.
@kilepi_tweve Kaka hao si wa Islam
Mm kama Muslim na wanangu kibao ( masheikh) tupo hapa tunawashangaa hao
Alfu kitu kimoja tukiweke Sawa so kila mtu akivaa jezi mchezaji wengine ni fans wa hiyo group