@millardayo Mpaka serikali inachezewa michezo jeshi la polisi linafanya kazi gani haina haja ya kuwa na jeshi linaruhusu wavamizi kutoka nje ya nchi na utekaji holela
ARUSHA: Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameyasema hayo Mei 21, 2026, kwenye Mkutano Mkuu wa 13 wa Kitaaluma wa Chama cha Waandishi Waendesha Ofisi (TAPSEA).
Upi mtazamo wako?
Fuatilia zaidi https://t.co/K1XIfDBdRO
#JamiiForums#Uwajibikaji#HumanRights
Hizi ndizo athari za kukariri majina ya watu bila kujua sheria inasemaje.Waziri anatoka ndani ya Bunge na Bunge lilishavunjwa tangu zamani. Siku ya uchaguzi alikuwa raia kama wewe mkurupukaji
Ili kuweka rekodi sawa na kuwa upande sahihi wa historia ya Tanzania ni kwamba hapo kesho baada ya ripoti ya Jaji Chande kusombwa;
• Tutaitetea Tanzania na serikali yake kwa nguvu zote na kwa wivu mkubwa sana pasipo kifani
•Tutapambana kweli kweli kuvunja porojo za wanaharakati kuhusu ripoti hii
• Tutasema bila woga na tashwishi nani alikuwa nyuma ya vurugu zile na nani alifadhili mambo yale..
KILA MTU ASHINDE MECHI ZAKE.. Na huu ndiyo mchango wetu kwa taifa hili
ASANTI....🙏🏽

@Baradhuli2 Ni rais alizuia hvyo amerudisha sasa, aliyewaajiri hana nia njema na kiongozi aliyepo madarakani kwa sababu Rais hajawahi kuishitaki chadema na hata kuzuiliwa kwao ni mahakama ilizuia na ndo imeruhusu kuendeleza shughuli zao kama Chama #Rais anaingiaje hapo