The Science of Early Childhood Development training aims to create a well-equipped workforce across all 26 regions to support the implementation of the National Multi-Sectoral Early Childhood Development Programme (NM-ECD) 2021/22-2025/26, in alignment with the @NurturingCare
Shirika lisilo la kiserikali la Lake Rukwa Development Organization #Lardeo limetamburisha mradi wa #MtotoKwanza wa mwaka mmoja wenye thamani ya Mil 30 Mkoa wa Katavi.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Filbert Chundu ameeleza kuwa mradi huo utakwenda kuwasaidia watoto wote.
LARDEO- Katavi washiriki maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika na kukabiziwa cheti toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Katavi kwa jitihada zinazofanywa na Taasisi ya Lardeo katika kuzuia na kutokomeza ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto