Kwa miezi 7 sasa naamka 4:30am.
Ninasali, najisomea (chochote kipya kwangu), nafanya mazoezi, meditation na kupangilia siku.
Simu naishika kwa mara ya kwanza saa 6:00 au 7:00am.
(sidhani kama nataka kuamka na notifications yoyote, dunia itakusubiri jiweke kwanza)
Faida nilizozipata baada ya miezi 7 ya kuamka mapema ni hizi👇
Thread🧵⤵️
Good Friday reminds us of Jesus Christ’s sacrifice. May this day further deepen the values of harmony, compassion and forgiveness. May brotherhood and hope guide us all.