@ze_mandevu Hio kitaalamu inaitwa expansion joint. Jua likiwaka sana zege linatanuka so hio space inasaidia likitanuka kama haitaachwa inamaanisha lita tengeneza nyufa pia kama umeona barabara za mwendo kasi nazo huwa wanaweza kama rubber flani kwenye boarder ya kijumba nayo ni kazi yake
@Adventure_36 Hio steel roller wasikae nayo karibu ikifunguka ndio balaaa naona Moja ipo kwenye lami na Ina safety Moja yakuishikilia huwa Yana funguka kama mfano ukifungua futi zile za bati zinavyoruka sawasawa na hizo maana zimekandamizwa mnoo zilivyokuwa zinafungwa
@bonifacejoseph_ Kwenye mtego kwa simba kulazimisha hukumu na kuhairisha mechi. Hamna sababu ya msingi ya kuhairisha mechi hili swala ni aibu. TFF kwa mujibu wa akili zangu za kijana na fikra za mzee mwenye busara nisinge hairisha mechi mechi ingechezeka mechi ikiisha then uchunguzi na hukumu
@bonifacejoseph_ Mimi huwa na jua maamuzi ya hukumu huwa hayatoki ovyo huwa ni 72+ hrs. Kiufupi simba kutokufanya mazoezi uwanja wa mkapa sio sababu kubwa ya wao kugoma mechi na kanuni hazija sema kula ni lazima ndio mechi ichekeze kama ni uzoefu wa uwanja wamecheza mechi ngapi + TFF nayo imezama