@YerickoNyerereT Watu wanapinga Maazimio makubwa ya chama hadharani wakifukuzwa mnaanza Ujinga eti katiba haijafuatwa ,shut up that fuck mzee,Katiba inalinda wale ambao wameilinda pia,You break the laws and then you want laws to protect you?? SHAME
@Lameck26@Sativa255 Hivyo ndo ruling huandikwa ,unajibu hoja kwa hoja then unakuja kwenye Final court order,kwa hiyo anaweza akataa baadhi ya hoja za utetezi ila in totality ,utetezi wakashinda