@iddynonga_ amachezaje shirikisho wakati kukubaliana na suala ya kukatwa point 15 na je una uhakika Hilo kombe la crdb atalibeba? it's just a bonus trophy coz huyo anayemkimbia huku kucheza nae bado yupo huko pia
@iddynonga_ wewe ni mjinga kila siku sijui lini utakuwa na akili za kiandishi sasa Chama ndo katufikisha waliotufikisha robo ndio wenye jukumu la kutuvusha kwenda nusu
@Kiddy871 inabidi nyie ndo mpaze sauti ili yanga waache upuuzi wao wanaoufanya kila siku kufanya vitu kinyume na taratibu simba kafanya hivii makusudii kachoka haya mambo anataka professional football iwepo nchini lakini ndugu zenu wale bado wanaamini mambo ya kizamani
@azamtvtz Simba wameonesha performance bora Sana ingawa Kuna mapungufu madogo sanaa ambayo kama wataenda katika hili dirisha dogo wajitahidi kurekebisha simba wanahitaji kupata a pure no 10 ambae anaweza kuvunja ukuta wa mpinzani, kwa upande wa yanga kidogo matumaini yamefufuka
@mshambuliaji@George_Ambangil @George_Ambangile top top kabxa uchambuzi bora sanaa hiki kitu kinakufa uonekane tofauti na wachambuzi wengine kabxaa yaani I wish utaendelea kufanya kazi hivihivi kwakufuata misingi bora ya uandishi I appreciate ๐