LIST OF 40 WEBSITES TO FIND REMOTE JOBS
1. Linkedin. com
2. Indeed. com
3. Glassdoor. com
4. FlexJobs. com
5. weworkremotely. com
6. Remote. com
7. Upwork. com
8. Freelancer. com
9. Fiverr. com
10. Guru. com
11. Toptal. com
12. AngelList. com
13. Hubstafftalent. com
14. Simplyhired. com
15. Remotive. com
16. Virtualvocations. com
17. workingnomads. com
18. Hired. com
19. cloudpeeps. com
20. taskrabbit. com
21. talent. com
22. remoteok. io
23. dremote. io
24. jooble. org
25. stackoverflow. com/jobs
26. jobspresso. com
27. onlinejobs. ph
28. simplyhired. com
29. themuse. com
30. skipthedrive. com
31. zirtual. com
32. justremote. com
33. hireable. com
34. remoteworkhub. com
35. jobbatical. com
36. freelancewritinggigs. com
37. contentwritingjobs. com
38. problogger. com/jobs
39. behance. net
40. designhill. com
Tunataka kuwapigia wazazi simu baadaye.
Tunataka kutembelea marafiki baadaye.
Tunataka kufurahia maisha baadaye.
Tunataka kupumzika baadaye.
Lakini maisha hayatoi ahadi ya hiyo “baadaye.”
The END .
Unapoweka mawazo yako kwenye baraka ulizo nazo badala ya changamoto zako, unajipa nafasi ya kuuona uzuri wa kila siku. Kumbuka furaha huanza pale unapojifunza kushukuru .
#ElimikaWikiendi
Kinachotutofautisha binadamu na viumbe wengine wote ni uwezo wa akili. Tumepewa akili kutuwezesha kuyasoma mazingira na kuyaelewa kama mbinu ya kutabiri kile kitakachotokea baadae. Unapokuwa na akili, maana yake una uwezo wa kutaswirisha (imagine) yasiyoonekana sasa hivi, kufikiri matokeo yasiyoonekana kwa kutumia ushahidi (pattern) unachokiona sasa hivi.
Akili, kwa maana hiyo, zinakusaidia kubashiri hatari hata katika mazingira yasiyo na hatari ya moja kwa moja, hivyo kuona hatari ya kesho kabla haijaonesha hata dalili za kutokea; uwezo wa akili unakusaidia kuona athari za maneno na tabia zako kwa wengine, kwako mwenyewe hata katika mazingira ambayo leo yanakunufaisha. Uono huo, kwa kiasi kikubwa, unaimarishwa pale unapovuka kiambaza cha kufikiri uko salama, unachokiamini ndio ukweli mkamilifu na huna haja ya kujifunza. Akili, kwa kawaida, zinakuwezesha kufikiri wengine, kuhoji imani yako mwenyewe, na kubadilisha mwelekeo ukipata ushahidi mpya.
Pia, uwezo wa akili humpa mtu mtazamo wa masafa unaomsaidia kufanya maamuzi yenye tija ya muda mrefu lakini isiyoonekana kwa macho. Kuna tafiti zinaonesha mtoto mwenye akili, kwa mfano, hufanya maamuzi yanayokwepa tamaa inayolipa haraka lakini yenye hasara ya muda mrefu. Uwezo wa ku-imagine hasara ya mahitaji ya haraka na kuwa tayari kuahirisha matamanio ya muda mfupi kwa faida ya kesho ndio unaomtofautisha kilaza na mwerevu.
Ukishazikosa akili, ukawa kilaza, unaweza kuongea chochote, ukafanya chochote, ukaamua chochote kwa kuangalia ‘kwenye pua’ ukisahau kuna kesho. Uhaba wa akili unakuondolea kabisa uwezo wa kutafakari kisichoonekana na muda wote unabaki kuamini maisha ni kile unachokiona, kile unachokiamini, na kile chenye manufaa yanayoonekana leo. Unakuwa huna tofauti na wanyama wengine wasiowaza zaidi ya ‘majani ya leo’, ‘kitoweo cha leo’, ‘utetezi wa leo’, ‘mapambano ya leo dhidi ya adui’ na ‘ushindi wa leo’ hata kama hayo yoye yanaambatana na hasara kubwa kesho.
KIOO KILITUFUNDISHA KUJIONA, LAKINI KIKATUSAHAULISHA KUJITAMBUA
Kuna hekima ambayo nature ilikuwa nayo kabla mwanadamu hajaanza kutengeneza vitu vya kumrahisishia maisha.
Kabla ya kioo kuwepo, mwanadamu hakuwa na uwezo wa kujitazama kila alipohitaji.
A BEAUTIFUL THREAD