@MbayuwayuMweusi@ZPlanmaster Kuna ripoti tofauti. Kuna ripoti kwamba RC alikua anamlazimisha Mwamwindi kusherehekea krismas, kuna ripoti kwamba alikua anamlazimisha kuadhimisha sikukuu ya wakulima, kuna ripoti kwamba ilitokana na swala la vijiji vya ujamaa.
Kushindwa kuonyesha kila kitu ni swala la script
@heis_kanny Tulikua idara tofauti. Kwa jinsi tulivyokua tunatazamana kuna siku nikamkuta kordoni anapita nikamuita hakuitika. Mchana kuna she wa idara yetu akanifuata akaniambia " ... Kasema uko poa, muonekano wa kiume na sauti ipo ila we mfupi hamtawezana" ile ofisi nilitoka kama Yesu
@Lizzie36021 Play Station na animation ni vitu ambavyo ni poa kwangu. Animation za mtindo wa kama Splinter: Death watch, carnage, Predator: Killer of Killers ni animations ambazo mpenda movies au series za thrillers na actions anaangalia na anatafuta zingine