beste yangu flani last week alitengeza kshs 4.9M akatumia 200k kuchange furniture, utensils na curtains za kwake then 100k ikakuwa ya luku alafu 250k akashika matunda na Samsung then kshs 120k ikakuwa ya sherehe .. balance akaamua kuingia Mombasa kushika gari ..akapata Benz flani inatoka 3.9M after kuburgain from 4.1M ..juu alibaki na 4.23M akaishika . Immediately after kumake payments akapogiwa simu na mamake that babake ni mgonjwa sana na hosi inataka ksh 1.2M ndio ianze kumtibu . Kujiangalia anapata balance yake ni Kshs 330k na hakuna mahali anaweza pata that required amount immediately ikabidii aongee na dealer amrudishie pesa zake . Dealer akakataa kabisa . Ikabidii tena ni kutafta customer wa kuuzia hiyo Benz. Huwezi amini what happened.. kijana aliuza Benz amenunua na kshs 3.9M kshs 2.9M hapo hapo kwa dealer . Yaani alipoteza 1M in less 30 minutes !!
Yaani Kenyans sisi huwanga tu watu wabaya sana hivyo . Awuoro .
During Barack Obama's historic 2009 presidential inauguration, Denzel Washington was one of the first people to arrive & waited hours to see history
Ksh 250,000,000 in 1,000 KSh notes = exactly 250,000 notes.
1. Length if arranged in a straight line (end to end)
Each note is approximately 143 mm long.
Laying them end to end: 250,000 × 0.143 m = 35,750 meters ≈ 35.75 km.
That's like a continuous ribbon of cash stretching from Nairobi almost to Naivasha (or a good chunk toward Nakuru).
2. Height if stacked
Banknote thickness is roughly 0.1 mm .
Stacked neatly flat: 250,000 × 0.0001 m = 25 meters tall.
That's about the height of an 8-storey building huko pipeline
3. Spending 10,000 KSh per day.
Ksh. 250,000,000 ÷ 10,000 = 25,000 days.
That's about 68.5 years of daily spending (non-stop, no weekends off).
You'd outlive most people before finishing it at that rate
4. Total weightA single 1,000 KSh note weighs about 1 gram
250,000 notes × 1g = 250 kg (roughly 550 lbs).
That's like carrying 5 bags of cement.
Ndio kuachiliwa na this bladifakin CEO nategea salary ya hi mwezii iingie ni nunue ka washing machine na niache kazii yake ya ubladikasia, atacheka sana na venye kamenipea sifa leo