Ombi langu rafiki zangu wa Nguvu wa jamuhuri Twitter Leo siku imeisha vibaya Jana ndugu zangu Naombeni sapoti yenu mtu yeyote atakae guswa naomba munisaidie nipate hela ya chakula ndugu zangu. M-pesa 0754 500572 Joseph Mrungu,Ntashukuru Sana ndugu zangu Naombeni Sana ndugu zangu
M/kiti Lissu anakupa pole sana kwa kufiwa na mume wako kipenzi. Tukiwa mahakamani takribani mara mbili, amesisitiza salamu zake zikufikie pamoja na pole zake kwako, watoto na ndugu zako wote.
Lissu ni mtu mwenye upendo mkubwa kwa watu na anayesimamia haki. Ninaamini kama angekuwa nje ya gereza, angefika Unguja mwenyewe kutoa pole na faraja. Kwa bahati mbaya, akiwa bado yuko gerezani, hawezi kutoka na kufika mwenyewe kukupa pole katika kipindi hiki kigumu.
Nami nikupe pole sana kwa kumpoteza mume wako mpendwa. Jipe moyo na uimarishe imani yako katika tumaini la Mungu. Mungu awape nguvu, faraja na uvumilivu wewe, watoto na familia nzima.
Let’s Love Lead, Mama! Get Lissu out of the prison walls!
Mjadara wa kidemokrasia na Wasira ni kupoteza muda! Alishasema ccm itatawala mpaka Yesu arudi’. Mtu kama huyu ndo M/kti wa TCD na mnaenda kuongea nae Habari za tume huru na katiba mpya. Anawaelewa kweli?
Nitakuwa na ziara ya mikutano katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida katika siku chache zijazo, nikitembelea maeneo ya majimbo yote yaliyokuwa yamebaki, kama ilivyokuwa imekusudiwa hapo mwanzo kabla ya mikutano kuzuiwa.
Kazi ya kukemea mapepo, upumbavu na kila aina ya uovu unaoendelea itafanyika kwa bidii, ujasiri na shauku kubwa.
CCM -Thank you for your attention.
GJL
Kazi ya CCM ni ya Kipumbavu sana. Hakuna namna kwa upumbavu wa aina hii Nchi inaweza kuwa na ustawi na salama. Muda utaongea kwa sauti kubwa sana. Na kila mtu atajuta.
Kuna kitu kimoja ambacho wanaojiita watawala hawakijui, CHADEMA ni Very Strong Instution, Hata utumie medali za juu za kivita huwezi kuigawanya. Waachane na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kuigawa CHADEMA. Version ya CHADEMA ya leo sio ile iliyopita, Hii imekulia kwenye ile version na ikaona makosa yake na haiwezi kuishi yale makosa kwakuwa inajua makosa yale yatawagharimu kuliko gharama wanazolipa leo! Mungu ibariki CHADEMA. Ni kheri kuishi miaka michache Duniani kwa wema na haki kuliko kuishi miaka mingi kwa uongo na unafiki,Mwisho wake ni mbaya zaidi. Njia waliyochagua CHADEMA ndiyo njia sahihi ya kuondoa utawala kandamizi!
Dogo anafanya kazi kwa Vitendo, Anagain Pure Skills, Baada ya hapo akapige theory kidogo kujua nini ni nini na ipo kwa ajili gani.
Theory husaidia zaidi kukuza Technology