Mjadara wa kidemokrasia na Wasira ni kupoteza muda! Alishasema ccm itatawala mpaka Yesu arudi’. Mtu kama huyu ndo M/kti wa TCD na mnaenda kuongea nae Habari za tume huru na katiba mpya. Anawaelewa kweli?
Nitakuwa na ziara ya mikutano katika mikoa ya Morogoro, Dodoma na Singida katika siku chache zijazo, nikitembelea maeneo ya majimbo yote yaliyokuwa yamebaki, kama ilivyokuwa imekusudiwa hapo mwanzo kabla ya mikutano kuzuiwa.
Kazi ya kukemea mapepo, upumbavu na kila aina ya uovu unaoendelea itafanyika kwa bidii, ujasiri na shauku kubwa.
CCM -Thank you for your attention.
GJL
Kazi ya CCM ni ya Kipumbavu sana. Hakuna namna kwa upumbavu wa aina hii Nchi inaweza kuwa na ustawi na salama. Muda utaongea kwa sauti kubwa sana. Na kila mtu atajuta.
Kuna kitu kimoja ambacho wanaojiita watawala hawakijui, CHADEMA ni Very Strong Instution, Hata utumie medali za juu za kivita huwezi kuigawanya. Waachane na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kuigawa CHADEMA. Version ya CHADEMA ya leo sio ile iliyopita, Hii imekulia kwenye ile version na ikaona makosa yake na haiwezi kuishi yale makosa kwakuwa inajua makosa yale yatawagharimu kuliko gharama wanazolipa leo! Mungu ibariki CHADEMA. Ni kheri kuishi miaka michache Duniani kwa wema na haki kuliko kuishi miaka mingi kwa uongo na unafiki,Mwisho wake ni mbaya zaidi. Njia waliyochagua CHADEMA ndiyo njia sahihi ya kuondoa utawala kandamizi!
Dogo anafanya kazi kwa Vitendo, Anagain Pure Skills, Baada ya hapo akapige theory kidogo kujua nini ni nini na ipo kwa ajili gani.
Theory husaidia zaidi kukuza Technology
Msaada tutani. Nawatafuta waliosoma literature in English A Level miaka ya 70 hasa 1973 na kuendelea kutoka Tabora Girls na Korogwe Girls. Nitafurahi sana kuwasiliana nao inbox.
Leo ilikuwa siku ya kazi ya chama na NCHI, Mjumbe kutoka Nyasa nimeshiriki kikamilifu kikao cha KAMATI KUU @chadematzofficial ✌🏾✌🏾
NB: Wadwanzi wote wanaoota, kutamani, kuwaza au kusema eti JONGWE ataondoka/kuhama hiki chama, kwa mara nyingine tena MATAKO YAO! 😎
#FREELISSU