@Nnauye_Nape kumbe tabia yake ya kusifia kila kitu alifika hatua ya kugombana na wenzake tena ugomvi mkubwa?,aiseee inaumiza kusema hakuwa na sifa ya kuwa mbunge Mungu tusaidie dhidi ya wabunge wa namna hii tunataka wateteziπ₯
@1960Remija mimi nilikuwa mfuasi wa Magufuli,baada ya kifo upinzani ulifurahi na ccm pia walifurahi nikaachana kabisa na siasa coz wote niliwachukia,kilichotokea juzi ni zaidi ya siasa nashangaa ule unyama bado mtu analeta jokes,iwe taasisi au bwege yoyote ni tofali tu
@Sativa255 And I know, yes, I know freedom is coming tomorrow. May our children rest in peace. Ashes to ashes, dust to dust......SARAFINA FUNERAL SPEECHβπΎ
@Sativa255 the torture, the killings; all this is the birth pain of our free nation. Please God, may I live to see it. But if I don't, I see it now on your faces like the light of the rising sun, and my heart lifts within me, as if I, too, was young again.
@godbless_lema kiufundi huu ndio wakati ambao wananchi wenyewe ndio watawala kuliko wakati wowote,wakiamua hakuna kwenda kazini wanatii,jeshi litulinde wanatii,wakipata misiba wanaogopa hata kupost wananchi wana meno makali kishenzi