Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe.
Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili.
Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza.
Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia mwanzo.
Niamini mimi, mbembwe na maigizo vitafika mwisho na hamtaelewana ila mkichukuana katika uhalisia mtaishi sana tu.
Usijibadilishe ili umpate kaka.
Bro,
Unapotaka mahusiano ya kudumu hakikisha umefanya uchunguzi na kuona kwamba mwanamke anajaa kwenye hesabu za mifumo yako.
Mwanamke anaweza kuacha baadhi ya mambo yake ili awe na wewe.
Mwanamke anaweza kupoteza uhuru wake ili awe na wewe.
Usihitaji mahusiano ya kudumu kwa mtu wa kula na kusepa, itakuumiza.
Usimbadilishe mwanamke alieharibika ili awe mtu bora wako, hiyo sio kazi yako. Badala yake tafuta ambae tayari kalelewa vizuri
THE END OF A LEGENDARY ERA 🇭🇷
Luka Modrić has played his last World Cup match. 💔
🥈 2018 – World Cup Finalist
👑 2018 – Ballon d’Or Winner
🥉 2022 – World Cup Third Place
Thank you for the memories, Luka. 🌕
Full career recap on our 2018 winner: https://t.co/7VRAVJ5WWy
#ballondor #worldcup #modric #croatia