@eastafricatv Kuna namna Chama anawapiga Simba pindi anapotaka kuongezewa Chapaa. Anatengeneza ajenda anatakiwa na YANGA kinachotokea ni SIMBA hawatamani kuona anenda YANGA inabidi wapambane kumbakiza hahahahahaha Jamaa mjanja sana
@wasafifm Alie muhoji nae alishindwa nn kumuambia amuonyeshe huo mguu uliovimba Tujue ukweli ni upi na pia inaezekana kapigwa misumari na aliowakuta huko misri