Maana halisi ya matumizi ya *mbolea ya asili,*
Mbolea ya mbuzi inaamikika kuwa na kiwango kikubwa cha *phosphorus* mahususi kwa ajili ya *uzalishaji wa mizizi*itakayosaidia unyonywaji wa virutubisho vingine Aridhini...!
Shambani.
@omarysaalim@PichaNzuri Sasa wadau c tuwe ata na group moja la watsap tupeane madini kama haya kwenye kilimo tufanye mambo yaonekane, Najaribu tu kuwaza kwa sauti