Hakuna tajiri yeyote ndani ya Tanzania atakayejionesha wazi wazi kuwa yupo upande wa CHADEMA katika zama hizi za siasa zilizojaa fitina, utekaji na uuaji.
Hakuna tajiri asiyependa biashara zake ziende vizuri. Mtu anayejiita "tajiri" halafu anasema yupo upande wa HAKI ni muongo.
@Nindi_Jr jamaa anatokea Gabon, west Africa kule wako developed alf mshkaji route za paris na shows kibao so lazima atoe vitu vimeenda shule...soko lake sio africa peke yake.