Bado nasoma jumbe zenu za goodwill wakati mnanipambania nikiwa matatizoni.
Kwa kweli ni nyingi.
Mimi ni mtu mzima na jasiri, lakini baadhi ya jumbe zenu zinanitoa machozi
Ni kama nasoma wasifu wangu kwenye msiba wangu mwenyewe.
Asanteni sana
Siwezi kuwashukuru mmojammoja
To Me it was very wrong from the very beginning, all I can say they are bunch of illegitimate! No comment on whatsoever they are/will be doing......I will just stick to the real liberation when everyone will be equal before the law🙏
VIDEO:
Mwanasiasa mkongwe na mchambuzi wa siasa Saidi Miraj amesema kuwa suala la upatikanaji wa Katiba mpya si jambo la kufanya kwa haraka, bali linahitaji mpangilio wa muda, umakini na hatua za maridhiano ili kufanikisha matakwa ya wananchi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Novemba 10, 2025, Miraj amesema kuwa katika mchakato wa kupata Katiba mpya, kila hatua lazima ifanyike kikamilifu kabla ya kuendelea na hatua inayofuata.
Ameongeza kuwa iwapo hatua yoyote muhimu haijakamilika, mchakato wa Katiba mpya hauwezi kusonga mbele hadi pale kila kipengele kitakapopata uwiano wa kitaifa na uhalali wa kijamii.
Akizungumzia kuhusu tume ya uchaguzi, Miraj amesema ni muhimu iundwe kwa mchanganyiko wa watu wenye sifa, bila kuangalia maslahi ya vyama vya siasa.