@mdudechadematz Chadema chadema lini mtaacha kutumia manjanga kama sehemu ya kujiimalisha kisiasa? Ajili imetokea badala ya kuhamasisha uokoaji ninyi mko bize kutangaza siasa. Siku mkiaacha ujinga huu mtafika mbali lakini kwa sasa mtuache kwanza mpaka tutakapoona mnaakili
@MwananchiNews Hii mbinu wanaoitumia kuichafua serikali tumeshaifahamu ni bora waache kutoa sadaka wananchi ili kutafuta huruma kwao. Nawashauri watumie siasa safi ili sera zao ziuzike na siyo kuwaua watu wasio na hatia.