Nakumbuka miaka ya nyuma kidogo nilivyokuwa naanza kujitafuta.
Huu wimbo ulikuwa alarm yangu ya kuniamsha saa 11:00 alfajir, niende kutafuta.
Sometimes nikawa nausikiliza nakaa machozi yananitoka.
Ohhh! Leo nimekutana na hii clip imenikumbusha mbali sana!!..
@Roma_Mkatoliki Ndicho nilichosema hata mimi jamaa anajifanya kuiponda serikali ya ccm na akiwa ccm isitoshe bado ni makamu wa bimjeda...mpaka hapo hamjiulizi, na bimjeda katulia tulii
@ze_mandevu Atoke chama cha mboga mboga ndio wananchi wapime uaminifu vyenginevyo ni mtego tu huo...eti we makamu wa Raisi halafu unamponda tu raisi ambae ndio kiongozi wa chama tena CCM hii ya mabavu na mpaka sasa anaangaliwa tu....
Hamna mtetezi hapo mnachezewa mchezo wa SQUID GAME
@VungaEl74 China ameshindwa mwenyew kuwa kinara wa dunia...Iran amempigania mpaka kubadilisha mfumo wa kimataifa wa uuzaji mafuta kwa Yuen ya china ila uoga wake mchina kashindwa kusimama kidete na kuitumia fursa
@EarlMcClary4@pallnandi@Icebergslim304 U.S terrorists proxies too killed thousands of people in middle East and world as a whole....we all know AL QAEDA, ISIS and AL SHABAAB are all proxies of C.I.A
@Tweener003 MONDI ALIJUA ILE NGOMA YAKE ASINGETOA VIDEO YA UBUNIFU WAKE MWENYEW ASINGETOBOA NDIO MAANA AKAAMUA KUCOPY MPAKA MUONEKANO ILI TU WABONGO WAANZE KUMSHUSHUA NA KUSHINDANA NA KWELI HAPO ALIFANIKIWA 100%
@paulbaita@mangekimambi Unadhani anajali hilo....kwani wanaotolewa kwa manyumba zao kule westbank ni kina nani....ama kule Gaza waliouwawa ni kina nani...the guy doesnt give adamn fuck about islam and muslim neither christianity and christians..