Jipe moyo , amka fungua moyo wako pambana …
Usijilinganishe na yeyote wewe ni wapekee…
Uhitaji Ghorofa ili uweze pata usingizi , unahitaji sehemu ndogo Kama Mita Mbili …
Huitaji kilo ili ushibe , unahitaji tu robo kilo ..
Karume na suti ya million 10 nyote mmevaa.
Lizika.
@BarakaMaviatu Effective community building ni people centered .. shida ya nchi zetu Zina centralize power .
Watu wanashindwa kuingage na kujiona ni part na wenye wajibu Kwenye maendeleo. Ndo maana ata mtaani bomba la maji linaweza pasuka wakusubiliwa Mamlaka .