@chapo255 kuna ata alivokua anaelezea issue ya bifu lake na rado unaona kabisa kuna kujimwambafy flan iv...anasema alimwambia majan rado yuko nje anatak aje kuingiza verse , et majan akamjib rado ni nani..wakat previously majan tyr alishawah fanya kaz na rado kabla ya fid