https://t.co/OOU66VpXCK
Please help me to fill this survey.
We are conducting Research on online consumer behavior and Some various factors that might Influence booming in online shopping trend.The survey should only take 5 minutes, and your responses are completely anonymous
.
Hii Nchi ya Malawi tangu imeingia kwa mgogoro wamejaribu kila njia kukwepa vikwazo. Sasa kwa jinsi Marekani na umoja wa ulaya walivyowakalia kooni ni wazo kabisa waziri wa mambo ya nje anatakiwa kujiudhuru maana kashindwa kazi.
@VitusNkuna Japokua alichosema sio sawa, ila swala la siasa hubadilika kulingana na muda na matukio. Siasa ni itikadi but kuna dynamics ambazo hutokea na watu kubadilila kutakana na matukio au mahitaji.
@M_Sungwa@HildaNewton21 Kitu ambacho watu hawajajifunza kuhusu kijani ni kwamba wanajua siasa, watafanya kila kutu kupunguza kelele za m29, sanctions etc. Inawezekana ni mfupa tu umerushwa mbwa waacha kupiga kelele.
Eg. why are foreign companies(Chinese) allowed to engage in activities such as clearing and forwarding, operating CFS depots, logistics, processing, and export services? In some industries, it appears that the entire value chain is controlled by the same foreign players.
Does anyone understand why the government has not reserved certain sectors exclusively for local participation? While FDI is important and can contribute significantly to economic growth, is it necessary for foreign investors to operate in every part of the value chain?