Safaricom oflate mnatesa hata agents wa bingwa sokoni sasa mkitoa gifting za mins za 20bob si watu wanaenda kuhamia airetel sakes zenyu zinaenda chini ,, nkt @Safaricom_Care@SafaricomPLC management iko je who makes decisions?? Rudishen gifting za mbao
@Safaricom_Care and @SafaricomPLC muite technicians wenyu bingwa sokoni iko na big issue kabisa.... Haikati credit na inaweka mbs some times hieki kabisa angalie kindl its incoviniencing us
Ruto ako na uwezo ya kushangaza Wakenya. Economy iko kwa ICU, vijana wanatafuta kazi na torch, bei ya vitu imepanda kuliko rent ya Nairobi, alafu solution ni kuleta Ebola facility? ๐ญ
Msee, watu wanatafuta pesa si pathogens. Mfuko iko dry kuliko river ya January, lakini serikali
Kama priorities zingekuwa exam, hii serikali ingekuwa imefeli na missing marks. Economy imeanguka vibaya kuliko network ya lift, lakini focus ni Ebola facility. Wakenya wanataka pesa kwa mfuko, si pressure kwa akili. ๐ญ