@MabalaMakengeza Tupunguze pesa zenyewe tunazo? Tusisahau kuishi hapa tunapita tu, kula vzr,vaa vzr, nukia, kunywa bia, au konyagi hauwezi pata Raha chini ya udongo bana 🙌
@madeinmusoma Ni kusuguana na kutombana mkuu! Sauna ni Kwa wale wagonjwa wenye nyege za kushtua kama gari lisilo na starter 😅 sorry nimekunywa jobo hapa!.. 😴
@Ntobi_ Wewe uliambiwa no reform ukakaza fuvu sasa shida IPO wp kwani si watz wenzetu waache wafanye Yao! Pia mkeka ukija watachaguliwa tu! Mawaziri hawachaguliwi kwa mikoa, na wanafanya kz tz nzima je huko unakosema hakuna miradi ya maendeleo? Hoja dhaifu sana hii kaka mkubwa! 🚮
@Roma_Mkatoliki Watu weusi sisi ni wabinafsi sana tunabaguana wenyewe Kwa wenyewe ndio maana hata watawala wanaiba pesa za umma, pasipo kujali kutoa huduma stahiki Kwa raia wao! Alisema Botha kwenye hotuba yake! Ss sio binadamu japo tunafanana na watu wa magharibi so sad! 🙌
@Daktariwayanga Sasa B2 na point wakati huku wezi wanajilipa ma billion of money walipeni sasa wasiandamane pesa si IPO tatizo lipo wp? Yaani gavoo inashindwa kushawishi watu mpaka washawishiwe na watu wanne tu so sad!
@_zack255 Mkitoka hapo mnaenda kuomba misaada Kwa hao mabeberu sasa kibaraka ni nani? Ni unatukana viongozi si ndio? Mbona mnakuwa na ubongo mdogo hvyo? Kama hao wazungu ni watu wabaya kutwa kuhutaji pesa zao kwaajiri ya miladi ya maendeleo waliposema hawatoi mmekuwa kama piritony!.