Today...
Kwa watu unaoishi nao na hata usioshi nao inabidi ujue ‘mipaka’ iko wapi. Usiwe mmoja wa watu ambao hawajui mstari umepigwa wapi. Kuwa na respect is sexy.
Mmiliki wa Chelsea Bilionea Roman Abromavich ana mililiki ndege binafsi ya Luxury (Boeing 747-33A ER) baada ya kuwekewa mapambo na nakshi za dhahabu thamani ndege hiyo 'The Brandt' inatajwa kufikia pound milioni 400 (Tsh trilioni 1.1) #MillardAyoSPORTS
HapaKaziTu! Wengaa
Site, ukaguzi wa shule ya kwanza ya Bweni ya wasichana Kisarawe ambayo Ofisi ya Mkuu wa Wilaya inasimamia ujenzi wake. Namshukuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Ndugu yangu Musa Gama kwa ushauri wake, yeye na idara yake ya ujenzi tunakwenda vizuri sana!!!
"Wanafunzi wengi wa vijijini wapo katika kipindi kigumu kutokana na ukosefu wa upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia kwa njia ya mtandao"
Nini kifanyike kutatua Tatizo hili?
Cc @MsichanaUwezo#hakielimu#Bintishuleni#ArudiShule
#StaySafeNyumbani kunaweza kukuepusha na Virusi vya Corona. Lakini hii si kwaajili yako pekee...
Uamuzi na uwajibikaji wako leo utawalinda wazee, watoto na wahudumu wa afya. Tuoneshe namna unavyo- #StaySafeNyumbani
Cc @UNICEFTanzania
Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema Rais wa Marekani Donald Trump alifanya kosa la kipuuzi kwa kujiondoa kwenye mkataba wa Nyuklia wa Iran, uliofikiwa kati ya Iran na nchi zenye nguvu Duniani na kuitaka Marekani kuondoa vikwazo vyake na kuilipa Iran fidia.
(via #DWKiswahili)
"Watu wanaamini ukiwa Baba kuna vitu vinabadilika, ila mimi nadhani watu wasiogope majukumu na changamoto kwamba ukiwa na mtoto unakuwa na vikwazo" Mtangazaji @tbway360
Source : #EastAfricaredio
"Uoga wangu nilikuwa nadhani kwamba ukiwa Baba kuna marafiki nitawapoteza, ila nikagundua marafiki zangu wote wameshakuwa wazazi na wananipa ushauri, sasa hivi najua hadi bei za nepi au kwanini mtoto halali" - Mtangazaji @tbway360#MamaMia
"Kama kuna mwamba aliyevumilia kipindi cha ujauzito basi ni mimi, kuna usiku mmoja alinipigia simu anataka Pizza nikamwambia namtuma mtu au watu wa "Delivery" walete akakataa hadi nikampelekea mwenyewe ila chaajabu naamka asubuhi hakula hata moja" Mtangazaji @tbway360#MamaMia