@michezo_ Hapana kka wew muongo, huyu jamaa ni kama budo tu finishing yake bado ya kawaida sana kumfananisha na mikisoni, atlist yule Pape sakho, uyu jamaa mambo mengi ila finishing poor
@RevocatusMagum1 Jamaa post zake ye n yanga tu akilala mpka kuamka yanga, kwani ni mchambuzi, shabiki au n nani uyu maan wengine mpaka wanachekesha skuizi๐
@RevocatusMagum1 Nilichokiona umeongea point Lakin n kishabiki, honestly yanga kikosi chake kimedrop sana tena pakubwa, na simba wameimprove sana, mwishon unasema simba yupo pamoja daraja Sawa na yanga asaiv duh๐๐