@Iamprince3010@1960Remija Kitu pekee ambacho viongozi wenu makolo hawatamani mkipate ni akili tu😀, mtoa post kaelezea vizuri tu na haihitaji akili kubwa kuelewa
@DavidMakhu473@iDiskiTimes Pressure from fans, Young Africans fans do consider most style of play, rather than match results, so if any coach doesn't meet their expectations, fans normally push leaders to terminate them
@Boanerge_@1960Remija Ndo mana mkiambiwa kunya mnakunya hadharani mbwa nyie, kimataifa huko ambapo unashika nafasi ya mwisho kwenye kundi la vibonde, kuitwa mbumbumbu Rage alikua mbele ya muda sana
@Boanerge_@1960Remija Kitu pekee ambacho viongozi wenu wanafaidika nacho ni kwamba wanaongoza mbumbumbu, wewe na yanga nani wa kwanza kufikisha idadi ya makombe 30 ya ligi, kama yanga always come second?
@Boanerge_@1960Remija Uzuri yanga hua anakupiga na kitu kingine tofauti, si unaona mlichana picha ya hersi wakapiga comeback ya tofauti kwa Mo, milio ikaanza
@jumbee101@Fb_Optimisit@Lizzie36021 Yani haya hua ni kama maroboti unayaseti tu, imagine hiyo kauli yanatumia karibu msimu mzima huu mpaka yanasahau kwamba yameburuza mkia huko CAF😅