@koome_pedro Same happened to me. Mimi sikumsalimia infact nilichange route. But huwa nashangaa sana what went over his head kuniona taxin saa hiyo mimi ndio nilikuwa best performer shule
My kiswahili teacher Mr Gitonga tuliwahi patana meru inside makandara territory Nikiwa na takzin inashine kama kipara nilimsalimia akanyamaza akashake kichwa tu
🤣🤣Wenye walijoin X after finance 2024 hawawezi jua huyu alikuwa our surgeon hapo archives before renovations kila tweep after mjengo used to go kugongewa mayai not untill akajiona sukari aty tumchangie ajue kupika sahii naskia anadinywa uko kwa warabu💯🤣🤣