UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA MKONGE SEKONDARI KUPITIA FEDHA ZA UVIKO-19.
Gharama: shilingi 40,000,000/= (shilingi 20,000,000/= kwa kila darasa)
Hali ya Mradi: Umekamilika https://t.co/8cipaOpkUz
UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA SHULE SHIKIZI MAWASILIANO KUPITIA FEDHA ZA UVIKO-19
Gharama: shilingi 40,000,000/= (shilingi 20,000,000/= kwa kila darasa)
Hali ya Mradi: Umekamilika https://t.co/MqzTkdULpw
UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA MINGOYO SEKONDARI KUPITIA FEDHA ZA UVIKO-19.
Gharama: shilingi 40,000,000/= ( shilingi 20,000,000/= kwa kila darasa)
Hali ya Mradi: Umekamilika https://t.co/DuoXbqeS7h
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 Manispaa ya Lindi wafanyika kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi. kwa habari zaidi tembelea https://t.co/dJdEUZwqYX
Mkurugenzi wa Mansipaa ya Lindi anawatangazia wananchi wote juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo katika eneo la Ngongo karibu na eneo linanotarajiwa kujengwa tawi la Chuo kikuu cha Dar es Saalam.
kwa maelezo zaidi fika ofisi za ardhi au piga simu namba: 0657650340, 0713654392.
wananchi mnapaswa kuchukua tahadhari zifuatazo. 1) waishio mabondeni na kando ya bahari wahame kwa muda. 2)wavuvi kutoingiza vyombo baharini. 3)wanaotaraji kusafiri kusitisha safari 4)kutogusa nyaya za umeme.
pia kuendelea kufuatilia taarifa za hali ya hewa.
TAHADHARI YA KIMBUNGA:
kimbunga Kenneth kinatarajiwa kuikumba pwani ya lindi kuanzia usiku wa leo tarehe 24. kitaambatana na mvua kubwa, upepo mkali, mawimbi makubwa ya bahari, radi na ngurumo hivyo kusababisha madhara makubwa kwa maisha ya watu na mali zao.