@VfL_Wolfsburg Thanks you ladies for giving me a lot of money. I believed on you, hence I placed a bet guiding you to score 8 goals โค๏ธโค๏ธโค๏ธ Thank you ladies, you made it true!!!!๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐ๐๐๐
Euro ya kinamama, AFCON ya kinamama, Copa America ya kinamama, CONCACAF nako kuna kombe la bara la kinamama ambako wapo USA & CANADA ๐ฅ๐ฅ๐ฅ kinapigwa ile mbaya wakuu ๐๐
@GeorgeJob14 Broo mambo vipi, nina idea ningependa ku-share kwako privately. Kama itakupendeza, utanicheki watsup (+255 752 859 301). Naitwa Joseph Mayombo, ni mwandishi wa makala za michezo na mchambuzi pia.
@George_Ambangil Robert Lewandowski amepiga bao kali sana ๐ฅ๐ฅ, near post. Yann Sommer ameshindwa kuwaokoa wenzake. Its 1-0 Fc Bayern, ndo kwanza 20' ๐ @George_Ambangil
@vee__victoria Hapana dada angu. Hujakutana tuu na mwanaume wa maisha yako. Muombe mungu na Trust the process, utampata mwanaume sahihi na hiki unachokiongea utakuja kukibadilishia kauli wewe mwenyewe
Msimu mpya wa 2021/22, bingwa wa TPL Kama itakuwa inaitwa hivo ni yuleyule Simba Sc kwa Mara ya 5 mfululizo. Tukutane mwisho wa ligi. Yanga hamna maajabu ๐ซ