Breaking News:
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini Seleman Bungara (Bwege) amefariki Dunia mchana huu, akiwa kwenye Hospitali moja ya binafsi huko Kigamboni, Dar es Salaam,
Jambo TV imezungumza na Abbas S.A. Bungara ambaye ni Kaka wa marehemu, ambapo amesema marehemu alifikishwa Hospitalini hapo kwaajili ya kufanyika Dialysis kama ilivyokuwa ikifanyika kawaida, na ndipo umauti ulivyomfika,
Amesema kwa sasa mipango ya mazishi inaendelea, na taarifa zaidi zitatolewa hapo baadae ila msiba (kwaajili ya watu kuhani) ni Temeke nyumbani kwa Abbas Bungara,
Enzi za uhai wake marehemu Bwege amewahi kutumikia vyama vya siasa vya CUF, ACT Wazalendo na hivi karibuni alitangaza kujiunga na CHADEMA, ingawa mchakato rasmi wa kukabidhiwa kadi ya chama hicho ulikuwa haujakamilika.
NB: Jambo TV itakuletea taarifa zaidi kuhusiana na msiba huo.
@MkulimaKante Tanfoam ni wakubwa kwenye kujitangaza kwa hilo wamefanikiwa kuliko vitafoam . Ila kwa ubora wa godoro chukua supream hata ivyo tanfoam ana density 24 wakati huo suprea
Ana density 28
Kukata tamaa ktk kuutafuta wema wa watu ni dhambi mbaya sana ktk maisha ya Binadamu. Kuutafuta wema na haki inapaswa kuwa kusudi la kila mmoja ktk maisha. Matatizo mengi duniani yanasababishwa na watu wema kukaa kimya wakati uovu unashamiri. Mateso kwa ajili ya haki ni Faraja kubwa sana ya moyo. Hata wanaofikiri sisi ni maadui zao wanapaswa kujua kuwa sisi ni marafiki zao na jitihada zetu ni kwa ajili ya watoto na wajukuu zao pia. Tuko nje kwa dhamana.
Standing in solidarity with the great people of Tanzania who are defying odds to protest against electoral injustice and impunity! Standing in solidarity with comrade Tundu Lissu, the main opposition leader who remains detained since April and his party CHADEMA banned from running in the sham election! The young people of Africa are speaking - let all despots listen.
Message from Chairman Tundu Lissu
October 26, 2025
“My brothers and sisters,
For several weeks now, I have been placed under total isolation — a state of forced loneliness. The fellow inmates who once shared my cell, all of whom had been sentenced to death, have been removed; I have been left completely alone.
My cell is now fitted with surveillance cameras (CCTV) that record everything I do — even when I relieve myself or change clothes. I no longer have any privacy whatsoever. This is not a matter of security; it is a deliberate act meant to humiliate my human dignity.
I appeal for this matter to be raised loudly and forcefully, because it is a blatant violation of human rights and an offense under the United Nations Standard Minimum Rules for the Treatment of Prisoners (the Mandela Rules), which clearly state that:
• The inherent dignity of every human being must be respected, even when imprisoned (Rule 1);
• Prolonged or indefinite solitary confinement that denies a prisoner communication with others amounts to cruelty and torture (Rules 43 and 44).
It is also a violation of the Constitution of the United Republic of Tanzania, Articles 12 and 13, which guarantee the dignity of every person and prohibit torture or degrading treatment.
I am prepared to endure any hardship for the sake of my belief in justice and the freedom of our people. But the humiliation of human dignity can never be acceptable — not for me, nor for anyone who bears the name of a human being.”
Admin
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 94
Mhe. Lissu: Ulienda kumuona saa nne na ulipomaliza ni saa nne hiyo hiyo? Sasa uliwezaje?
Kaaya: Lisaa lina dakika 60 kwahiyo kwenye hiyo mida ya saa nne ndio nilimaliza hayo yote.
Mhe. Lissu: ulipofika kwa SSP George ulimueleza ulichoona kwenye mtandao wa YouTube.
Kaaya: Ni sahihi nilimuonensha kwa simu yangu.
Mhe. Lissu: na ni kweli ulimuonesha baadhi ya vipande vilivyokuwa na viashiria vya jinai na ulimuonesha vipande vipande?
Kaaya: Ni sahihi.
Mhe. Lissu: Je hayo maelezo yapo kwenye maelezo yako ya Polisi?
Kaaya: haupo.
Mhe. Lissu: ni kweli ulisema ulimuonesha video ukisoma maelezo yako ya polisi na hujafafanua kama ulimuonesha vipande au laaa?
Kaaya: sikuandika kama nimemuonensha.
Mhe. Lissu: ulieleza pia hapa mahakamani kwamba wakati unamuonesha SSP George hiyo video clip na yeye alichukua police notebook yake na kujaza taarifa anazoona?
Kaaya: Ni kweli.
Mhe. Lissu: Je hayo kuhusu afande George kama yapo kwenye maelezo yako Polisi wambie majaji?
Kaaya: Hayapo.
Mhe. Lissu: Umewahi kuhudhuria Shule ya Msingi?
Kaaya: 1989 hadi 1995 nilisoma Nganyeni na Ryakilimu huko Marangu. Primary School.
Mhe. Lissu: Je sekondari umewahi soma?
Kaaya: Nimeanza mwaka 1996 na kuhitimu 1999 shule ya sekondari Lyakilimu.
Mhe. Lissu: Ni sahihi nikisema ulimaliza form four hapo?
Kaaya: Sahihi.
Mhe. Lissu: Ulipata division ngapi?
Amesimama Wakili wa Serikali kuwa anapinga swali la kumuuliza shahidi ufaulu wake. Kifungu cha 167 cha sheria ya ushahidi kinasema jambo hilo sio relevant kabisa. Kikubwa amemaliza shule mengine ni siri ya shahidi.
Anasimama Katuga nae anasema swali hilo linalenga kutaka nini? Section 164 inasema kwanini maswali ya namna hii yanaulizwa. Tukiacha hili ataulizwa una wake wangapi?
Mhe. Lissu: anasimama kuwajibu. Waheshimiwa Majaji mimi siulizi swali bila sababu ya kiushahidi.
Suala la Elimu ya shahidi limejitokeza sana katika examination in Chief. Wameeleza vyuo alivyopitia, Moshi na Zanzibar. Wameeleza extensively, Wangetaka tusiyajue wasingeyaanzisha, wameanzisha wavumilie.
Swala la academic qualification linahusu namna gani maafisa wa polisi wanaajiriwa. O.54(1) ya PGO inahusu namna wanavyoajiriwa. Anaisoma hapa. Kama alipata zero alipaswa kuwa police officer huyu?
PGO pia inasema PGO 53(10) on promotions on Inspectorate shall normally be to personnel with the following qualifications including form four qualifications.
Was he fit to be promoted to Inspectorate?kama alipata zero ajibu tu, haya mambo waliyaleta wenyewe. Wavumilie sasa muda huu.
Mbona nimeuliza ya shule ya Msingi hamjasema kitu. Mmeanza kulalamika nilipofika kwenye form four? Mmeyataka: Mtapata.
Anasimama Katuga: Tumesikia Majibu ya Mshitakiwa hajaelewa pingamizi letu. Hatujapinga, Elimu yake ya shule ya msingi. Suala la Division sio relevant kabisa.
Na PGO haijasema apate division ngapi?
Imezungumzia elimu kwa ujumla. Kwanza ufaulu wa form four ni kuanzia Division one, two, three na Four. Hizo zote ni ufaulu.
Anasimama Job Mrema kwanza niseme naunga mkono yote yaliyosemwa na Katuga. Mshitakiwa alikuwa anazungumzia credibility ya shahidi.
Job Mrema anazungumza mambo mapya. Lissu anaweka pingamizi jaji anasema jiongoze vizuri Mrema.
Job Mrema amekaa chini ghafla watu wamecheka. Hajaeleweka hata alikuwa anataka kusema nini?
Jaji: Mahakama imewasikiliza na kuona muishie hapo tu, msiende kwenye alipata nini?
Mhe. Lissu: Je ulisoma kidato cha tano na sita?
Kaaya: Sikusoma.
Mhe. Lissu: Waeleze majaji kama una advanced Diploma ya kitu chochote?
Kaaya: Ninayo.
Mhe. Lissu: Ya nini?
Kaaya: Refrigeration na air condition advanced diploma. Nilisoma Nairobi.
Mhe. Lissu: Umesoma maswala ya Mafriji chuo gani?
Kaaya: Waheshimiwa Majaji naomba mahakama hii isiwe chombo cha kutoa taarifa za mashahidi na isiwe nia ya kudhalilisha.
Watu : 😀😀😀😀
Part 95 itaendelea kwenye post inayofuata,
Naomba Repost yako.