@bbcswahili Bbc acheni kuwatisha watu na corona. Hata huko uingereza corona ipo na watu wengi wamekufa, kwanini mmeisakama sana Tanzania????!!
Yesu amewaona!
@Georgew38046340 @ClubMagufuli@freemanmbowetz@ChademaTz Ndo ukamuulize huyo mtaalamu, mapapai yanawezaje kuwa na corona??!
Msiwatishe wananchi, waacheni waishi kwa raha kwenye nchi yao tajiri waliyopewa na Mungu.
Corona ipo dunia nzima kwanini kuisakama Tanzania!
@zittokabwe@MagufuliJP Ukitaka corona @fatma_karume nenda china. Tunajua Tanzania ni nchi tajiri sana, mnasingizia corona muwape mwanya mabeberu.
Yesu amewaona!
@bbcswahili Bbc tupeni habari za huko kwenu Uingereza, corona imepungua au bado! Mnatupa wasi wasi mnavyo isakama Tanzania kisa corona, ua nikwasababu Raisi Magufuli kaweka misimamo mikali juu ya mali za Tanzania, ndo mnaishambulia Tanzania kila siku!!
Corona ipo dunia nzima iacheni Tanzania
@kigogo2014@makonda_paul Kuitukana serikali @kigogo2014 maana yake unamtukana Mungu.
Unamaanisha hata YESU unammudu?!
Chunga kichwa chako.
DAMU ya YESU ikuguse hapo ulipo!
Tanzania itasimama imara milele!
@TunduALissu Vatican, Mecca na TANZANIA ni vitu vitatu tofauti, changua moja unakaa upande upi, wa Yesu au wa hao wasanii, usipotoshe watu mchana kweupe, Mungu ni mkubwa wacha apewe heshima yake!
@zittokabwe@MagufuliJP Rais yuko kazini muda wote na popote pale nchini na ndio maana kila mkoa una Ikulu ndogo!! Aliweza kumpokea Museveni na Uhuru akiwa hapo hapo chato atashindwaje kufanya majukumu yake akiwa Chato?
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na Jumapili} KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU aliye muweza wa yote atuepushe na janga la ugonjwa huu. Tusali kwa kila mmoja kwa imani yake, atatusikia.
@fatma_karume Usimchezee YESU dada @fatma_karume jifunze kwenye historia, angalia waliomchezea YESU wako wapi!
Fanya mambo yako yooote lakini YESU usimchezee, hajakukosea chochote!
@fatma_karume@fatma_karume@HecheJohn@kigogo2014 uvivu wa kufikiri huo, mmemuweka huyo jamaa ongee hapo, hayo maneno yake yanamsaada gani katika Taifa hili kubwa lenye mali nyingi na utajiri mkubwa...angalieni mambo ya kushabikia, kama mmeenda shule kweli!
@RealHauleGluck @umwalimu @MagufuliJP Huyo si mkuu wa mkoa hanamamlaka ya kutangaza kivipi, ikiwa hata hao unaotaka watangaze wapo chini yake?! Mbona rahisi sana kuelewa...!