Ni kiwa na maana kwamba itaweza kuongeza fursa za ajira sio Kwa nafasi ya kiti Cha ubunge pekee Bali naamini kuwa mbunge Kwa miaka 10 lazima kitakuwa na investment atazifanya kama mbunge ambazo zitaweza kuwapa kipato.
Kuna wabunge wamefanya investment kubwa ambazo wapo vijana
Mh rais @SuluhuSamia karuhusu mchakato wa katiba mpya uanze
Mimi naona kiongezwe kipengele Cha ukomo wa muda wa wabunge kuwa kwenye nafasi hio. Kwani kinawafanya wanajisahau sana pia itasaidia kuongeza commitment wakipata nafasi.