Madhara ya kuchelewa kwenda airport- bodaboda inahusika - begi linakuwa katikati yako na dreva… madimbwi na matope sio vikwazo…. ashukuriwe Mungu wa juu kwa kuweka malaika wa ulinzi kwa huruma … 🙏🏿
Many thanks to my dearest bro @JamesMbowe4 for making it happening … & @FadhyMtanga for treating me with a much needed cold drink at the airport