@EdwinMjeru@BSAT_Properties Nimejisikia aibu kwa sababu hapa kwetu mashirika na ofisi zetu zimehalalisha ucheleweshaji huduma na bila soni hatuombi radhi, wala utaratibu huo haupo. Hapana! Something must be done kuondoa hii tabia mbaya. Tujifunze kwa wajapan.
@DullahTheking2@Eddo142 Kakaaa.. ulishuhudiaje muvi kama na wewe hukuhusika kaka? Haiwezekani ulikaa koridoni kushuhudia manzi inatoka chumba hii kuingia hii