Pongezi za dhati kwa Profesa Karim Manji, bingwa, mkufunzi na mtafiti katika eneo la tiba ya watoto na afya ya vijana, kwa ushindi wa tuzo ya Alumni Award of Merit toka Shule ya Afya ya Chuo Kikuu cha Harvard (Harvard T.H. Chan School of Public Health).
Kwa zaidi ya miaka 30, Profesa Manji amekuwa daktari, mkufunzi na mtumishi wa kupigiwa mfano katika Hospitali ya Taifa na Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Shirikishi, Muhimbili. Tunajivunia kujitoa kwako kwa nchi yetu, utafiti, ushauri, utumishi na malezi yako kwa mamia ya wanafunzi ambao sasa ni madaktari katika eneo hili muhimu la afya kwa nchi yetu.
Dans le cadre de son mandat, la #MONUSCO aide à l’amélioration des conditions carcérales à la prison centrale de #Beni.
Pour ce faire, la Brigade d’Intervention de la Mission a dispensé une formation au personnel infirmier et offert des consultations médicales aux détenus.
2023 1st Field Medical Assistants Course (#UNFMAC) concluded last Wednesday in Entebbe, Uganda 🇺🇬 28 trainees enhanced their @UNPeacekeeping field medical skills + 7 instructors were certified as Head Trainers and will be welcomed back to guide future training. Congrats to all 🎉
📍𝐃𝐑𝐂
Walinda amani wa 🇺🇳 kutoka #Tanzania 🇹🇿 wawapima #NCDs wakazi wa Beni, Kivu Kaskazini ikiwa leo ni #WorldHealthDay maudhui #HealthForAll @MonuscoF
📰https://t.co/aUDonBifPp
🎦Ndefu:https://t.co/LBl5U9AK9u
🎦Fupi⤵️
This week, the Dar team working with Dar Region health officials took to the media to sensitize about HIV/AIDS
L to R👉 Dr. Abdallah Mfaume[MDH], Dr. Salim Sultan[MDH], Ms. Sofia Amaan @sofia_amaan [eFM @efmtanzania ), Sr. Emma Mauki [Ubungo MC] and Dr. Aisha Zukheri[Dar City]
I am Brian Gichuhi a 28 year old living with Cerebral Palsy (CP). I am here to tell you that if you gave birth to a child diagnosed with CP, there is hope. My story is long and I take time to do a thread so a mother out there may see some light while a crushed dad may lighten