Tofauti ya @George_Ambangil ,@GeorgeJob14 na wachambuzi wengine wa mpira wana madini sana wanasoma sana wanauelewa mchezo wa mpira Kwa upana zaidi kamwe huchoki kuwasikiliza. Kwenye fact wanaongea na kuweka pembeni unazi kiukweli hawa watu wawili ni national treasury ๐ซก