@polo_kimanii Hii jamaa ata ukiangalia ni jamaa kwao kuna pesa. 1978 na walikuwa na kabati,carpet na sofas. Ukiangalia pale kando kuna maua kama zile zinauzwa pale two rivers mall.I call them nepo-babies. Poverty is only at your home, kuna watu waliwachiwa mali na mababu zao Ahsanteni!!

@polo_kimanii Kuna siku nilitumia hii toothpaste na nikaitisha keg ya black vikombe tatu pale kwa mama nitilie. Kuenda kuitisha ingine harufu ilijaa pale kwa counter sikupenda. Ata urwaro ya Gaitho hainukangi hivyo after ametoka gym buanaa! Hii ata unaogopa kuongelesha teller kwa bank.Kangura!