@Advocate_Jebra Roho wa Mungu aliyemwokoa Nyakati zote katika mapambano yake amuokoe pia katika macho na natamanio ya Maadui Hawa wapigwe upofu katika Kila watakalisema liwe baraka na heri Kwa @#Lissu
@Chahali This woman searching a way to kill Lissu with Poison as Vladimir did to his opposition Leader. She is going there purposefully for that mission on how to be done.
@Mwabuk2Boniface@UlimwenguJm@KisongaRauce Yaani, I wish ningekuwa na uwezo kutengeneza bomu la nyuklia Ili nikirusha jengo na vyote vipivyomo vipotelee humo. Asitoke hata mmoja.
@MsigwaGerson Yaliratibiwa wapi
Sehemu Gani
Idara za usalama wa nchi
Jeshi
Polisi walikuwa wapi Hadi mafunzo hayo yakatolewa.
Mtachelewa sana kuelewa sababu. Tuendelee kuufinya ukweli.