@Mkama_official@godbless_lema Yaa upo sawa ila hicho kipindi rais alipendwa na wengi , wananchi wakiridhika kanisa liseme nn? Hata yesu mwenyewe alizaliwa Israel ikiwa chini ya dola ya kirumi , hakutia neno kwakuwa wananchi hawakuwa wakitaka uhuru aliwakuta wamerelax😂