Mzunguko wa Elimu ya Tanzania.
Wale wanafunzi waliongooza mitihani mashuleni wanaenda kwenye Engineering na Medical School. Na kuja kuwa wataalamu (watendakazi).
Wale waliokuwa wa Pili wanachukua MBA na LLB na wanakuja kuwa Mameneja wa Wanafunzi wa Kwanza darasani.
SHERIA 20 ZITAKAZOKUSAIDIA KUDEAL NA NDUGU IPASAVYO😎
Moja ya Changamoto kubwa ni namna ya kuishi na ndugu.
Yako mengi ya kujifunza.
Hizi hapa nondo 20 zitakusaidia kupunguza stress.
RETWEET Wengi wajifunze... 🙏
🧵📢
@MwanzoTv Imeshawahi nitokea hiyo Askari kasachi kwangu katoa fuko la Bangi katika maandishi kajaza kwamba nauza Bangi matokeo yake Mwenyekiti wa Mtaa Sungu.sungu mpaka Mtendaji walikua nakusema huyu jamaa hauzi Bangi kabisa. Polisi kashangaa sana kwanini napata utetezi sana
Chechen Akhmat Special Forces Apti Alaudinov has announced that almost all supply lines to Bakhmut have been cut off and the final route is under Russian fire control.
We’re about to see another Soledar “tactical retreat” by Ukrainian army
Cr: @Chadyrov11
Leo Ni Jumatano Watu Wako Makazini, Watumishi Hawajatolewa Ofisini Kwenda Kwenye Mapokezi, Wanafunzi Hawajatolewa Darasani Kwenda Kwenye Mapokezi Wala Hakuna Mtu Aliyebebwa Na Fuso Lakini Dar Imezizima. Hii Ndio CHADEMA 🔥👊✌️