Kama tulivyo na waandishi wa habari za sekta na maswala mbalimbali katika jamii, naona kuna haja kubwa ya kua na waandishi wa Habari za maswala ya Imani, wao wataweza kusaidia kuandika na kushare habari zilizochujwa au kupimwa kwa mizani ya neno la Mungu. Nje ya hapa ni Matatizo.
Kama tulivyo na waandishi wa habari za sekta na maswala mbalimbali katika jamii, naona kuna haja kubwa ya kua na waandishi wa Habari za maswala ya Imani, wao wataweza kusaidia kuandika na kushare habari zilizochujwa au kupimwa kwa mizani ya neno la Mungu. Nje ya hapa ni Matatizo.
Introducing to you , our own baby and strength of your career life @orangemindcreativetz
Karibu and Follow Us on
Instagram
Twitter
LinkedIn
And stay calm 📝📰 https://t.co/GVNa7c4AHd
Je wewe ni kijana Mbunifu na una uwezo wa kuandika mawazo ya kibunifu na masoko kwa lugha mbili English or swahili na unatamani kujifunza zaidi zaidi ? Natafuta vijana watatu wa kufanya nao na kuwafundisha kazi hii.
Nb: uwe ni mkazi wa Dodoma.
Whatsap/DM me.
"Usiogelee Baharini kama unavuja au kutokwa na Damu mwilini sababu unaweza kuwavutia papa na samaki hatari wa baharini walao nyama za watu." Tumia akili.🧠🤯 @ Dar es Salaam, Tanzania https://t.co/hJxAfqeCpk
Kama wewe unajiita na unajijua kuwa ni Influencer kwenye eneo lolote hapa Tanzania 🇹🇿 , sasa ni time ya ku Influence watu wamfuate Bwana Mungu wao na kuliombea Taifa letu. #Influence4salvationtz
Usiruhusu hisia zako zikufanye uamue juu ya vile unavyojihisi ,bali mruhusu Mungu aamue juu ya vile unavyohisi.
Maamuzi yatokanayo na hisia yanaumiza na kuangamiza. @millardayo
Viongozi na wasimamizi wa taasisi mliokalia viti vya kufanya maamuzi, niwaombe muwasikilize vijana, msiwakatae , wengi wana mawazo yenye tija na yenye nguvu itakayo saidia taasisi zenu kwenda mbele na kutengeneza faida kubwa. Muwasikilize Vijana.
Chochote unachopitia katika Maisha yako ya kila siku ,hakikisha unamshirikisha Mungu ,kuwa Muwazi mbele ya Mungu , Funguka kila kitu kwake acha kuchagua kipi nimwambie Mungu kipi nisimwambie,funguka yoote! , alisema"bila ya mimi ninyi hamuwezi kitu chochote"
Nakuombea Uwe na uwepo wa Mungu uletao Amani ,Utulivu wa Moyo,Furaha na Ushindi katika kila Mpango wako uliojiwekea siku hii ya leo, Hakuna mpango wa shetani dhidi ya maisha yako utafanikiwa leo hii in Jesus name.
Ewe Ndugu unae Mcha Mungu, ijapokuwa unapita kwenye wakati mgumu/mateso na shida nyingi.
Naomba ujue kwamba Mungu hatoruhusu wakati na majira haya yakuvunje hata Mfupa mmoja hiyo haitatokea, wakati wa msaada wa Mungu umekujia .
Fanya vyote unavyoweza kuvifanya kwa uwezo na nguvu zako , Usivyoviweza kuvifanya Muamini Mungu na umuombe avifanye yeye aliye muweza wa vyote . Apst: Nickson George
Huu wakati kwa macho na masikio unaogopesha sana ,lakini rohoni ni wakati mzuri sana na mwema sana , wala usipanic, zidisha kumuamini Mungu na kumuomba sana, kwani ana nia njema na wewe kwa majira na wakati kama huu. Huu ni wakati wa Bwana...soma Maombolezo 3:25