Kuna maneno ambayo tunayatumia kila siku katika shughuli zetu za kila siku, lakini wengi wetu hatujui virefu vyake.
Kwenye uzi huu nimekusanya maneno 100, yaliyogawanywa katika makundi 10. Twende pamoja.๐๐งต
@PresenterNoah Mteja kazingua, au akienda mlimani pale huwa vtu anavibeba kwa mfuko wa shati, maana pale lazima ulipie mfuko wao ingawa unajina la Shoppers/Mr.discount?
@PresenterNoah Muuzaji yupo sahihi kumuuzia mteja huo mfuko ama kuujumlisha kwenye hesabu zake km alivyo fanya, sema kuna wateja huwa ni shida sana kuwaeleza maana unaweza kuta kwanza huo mfuko hata hauna nembo ya duka km ilivyo k/koo mfuko kuwa na jina la duka nayo pia huko sio maduka yte.